Jumatatu, 28 Januari 2013

WATOTO WA MZEE HUSSEIN SESEME MAKUMBITU NA WAJUKUU ZAKE


MKE WA KWANZA WA MZEE HUSSEIN

Bi Chausiku Binti Mwanegoha  Kawambwa ndiye mke wake wa kwanza ambaye alizaa watoto wawili tu na kisha kufariki. Watoto hao ni mzee wetu Bw Athumani Hussein Seseme ambaye alimzaa mwaka 1922. Na mtoto wake wa pili ni mama yetu Bi Mwajuma binti Hussein Seseme ambaye alimzaa miaka miwili baadaye. Ama kati ya mwaka 1924 - 1925.Baadae Bi Chausiku alifariki dunia aliwaacha wanawe  Bw. Athumani na Bi. Mwajuma wangali wadogo bado. Bi Chausiku alizikwa kwa  Kombo pembeni mwa msikiti wa kwa Kombo mwaka 1926. Hivi hatuna tarehe yenyewe hasa.


MKE WA PILI WA MZEE HUSSEIN HUSSEIN (MAKUMBITU)

Bibi Khadija binti Salum Kiluke, kutoka Lukanga Mkuranga ndiye mke wa pili wa mzee Hussein Bi khedija alizaa na Mzee Hussein watoto wanane na alifariki 1980 watoto hao ni kama ifuatavyo.
    1 )   Bw. Muhamed Hussein alizaliwa mwaka 1928 alifariki 12/03/2004
     2)    Bw. Rajabu Hussein alizaliwa 1930 alifariki 16/01/2001
     3)    Bibi Mwajabu Hussein pacha na Bw. Rajabu alifariki julay 2004
     4)    Bw. Jaffar Hussein alizaliwa mwaka 1932 alifariki 06/01/2009
     5)    Bi Mwadawa Hussein alizaliwa mwaka 1938 alifariki
     6)    Bw. Mwinshehe Hussein alizaliwa 1941 Amefariki
     7)    Bi Ashura Hussein alizaliwa mwaka 1943 alifariki march 2001
     8)    Bw. Ramadhani Hussein alizaliwa 1945 alifariki 2010.

MKE WA TATU WA MZEE HUSSEIN.

Mke wa tatu wa mzee Hussein ni bibi Tabu bint Salum kutoka Msanga ya Gumba Masaki Kisarawe, yeye amezaa watoto sita, bint Tabu ama (Heyaheya) alifariki tarehe 24/12/2000. Watoto hao ni kama ifuatavyo:-
1.    Bi Mwakama Hussein alizaliwa 1936 alifariki 14/12/2009
2. Bw. Omari Hussein alizaliwa 1938 alifariki 1994
3. Bi Kibibi Hussein alizaliwa 1940 alifariki December11,2011
4.    Bw. Ally Hussein alizaliwa mwaka 1942 yuko hai
5.   Bi. Husna Hussein alizaliwa mwaka 1944 yuko hai
6.   Bi Mariam Hussein alizaliwa mwaka 1947 yuko hai


MKE WA NNE WA MZEE HUSSEIN

Mke wa nne ni bibi binti Suleiman kutoka Kisarawe. Bibi huyu hakuzaa,alikuwa hana kizazi na alifariki mwaka 2004. Wakati wa kifo chake alikuwa ameshaachwa na mzee Hussein Hussein.
Kwa jumla Mzee Hussein Hussein alipata watoto kumi na sita (16) wanaume nane na wanawake nane. Waliofariki hadi kufikia wakati huu tunaandika kumbukumbu hii ni watoto kumi  na mbili (12).  Walio hai ni watoto wanne, wanaume wawili na wanawake wawili mpaka Mwezi Juni 2012.(NB WAMEBAKI WATOTO WAWILI WA WANAWAKE:BI HUSNA NA BI MARYAM NA.MTOTO MMOJA.WA.MWANAUME: BW. ALLYo:p>
 Takribani watoto wote wa mzee Hussein Hussein walijaaliwa kupata watoto isipokuwa kwa mmoja tu Bi Mwakam Hussein ambaye hakuwa na kizazi, pamoja na kwamba aliolewa mara mbili na wanaume wawili tofauti lakini bahati haikuwepo. Bi Mwakama alifariki 14/12/2009


WATOTO WA MZEE HUSSEIN HUSSEIN UZAZI WAO

A)MZEE ATHUMANI HUSSEIN SESEME

Bi Mwanaasha bint Mwinyihija Kuchimba wa Mtoni Kijichi
Wamezaa watoto kumi na mbili (12)

Watoto

1      Hassan A.H. Seseme amezaliwa mwaka     AMEFARIKI
2. Hussein A.H. Seseme amezaliwa mwaka 1948- amefariki mwaka 1949
3. Chausiku A.H.Seseme amezaliwa mwaka 1950- amefariki mwaka 1953
4. Talibu A.H. Seseme amezaliwa mwaka   1952 - amefariki mwaka 2009
5. Jamila A.H. Seseme amezaliwa mwaka   1954  - amefariki 07/02/2009
6. Hadji A.H. Seseme amezaliwa mwaka 16/07/1956 amefariki mwaka 1997
7. Subira A.H.Seseme amezaliwa mwaka 25/07/1958       -    yuko hai
8. Salama A.H.Seseme (Bapoo) amezaliwa mwaka 1960  -   AMEFARIKI
9. Muharami A.H.Seseme amezaliwa mwaka 1962           -     yuko hai
10. Salima A.H. Seseme amezaliwa mwaka 1964                -    yuko hai
11. Omari A.H.Seseme (Hugo)amezaliwa mwaka 1966       -     yuko hai
12.  Isihaqa A.H.Seseme amezaliwa mwaka 1968                  -    yuko hai

NB:
Mama Mwanaasha aliachwa na mzee Athumani kisha akaolewa na mume mwingine ambaye alizaa nae watoto wawili Rehema Yahya Chuma na             Thabiti Yahya Chuma. Mama Mwanaasha alifariki mwaka 1981 Julai.


B) BI MWAJUMA HUSSEIN SESEME

Mumewe Shekhe Abdallah Iddi Chaurembo kutoka Mtoni Tungi wamezaa           watoto wanne na wajukuu kumi na nane, vilembwe vitano.

Watoto   

     1.     Salama amezaliwa mwaka 1945                    amefariki
      2.    Iddi Abdallah amezaliwa mwaka 1947           yuko hai
     3.    Ziada Abdallah amezaliwa mwaka 1950           yuko hai
     4.    Salum Abdallah amezaliwa mwaka 1953    yuko hai


C) MOHAMED HUSSEIN SESEME
Ameoa wake wawili
Mke wa kwanza amezaa watoto nane (8)
Bi Subira binti Ally Bakari kutoka Mtoni Kijichi.

Watoto
1. Ramadhani Mohamed amezaliwa amefariki 1971
2. Feli Mohamed amezaliwa amefariki 1959
3. Nassoro Mohamed amezaliwa yuko hai
4. Ally Mohamed amezaliwa yuko hai
5. Kassim Mohamed amezaliwa yuko hai
6. Hadija Mohamed amezaliwa yuko hai
7. Fatuma Mohamed amezaliwa yuko hai
8.   Ashura Mohamed amezaliwa yu ko hai

Mke wa pili  Mwamvua binti Ally Shaha Jumbe Nyanza amezaa watoto saba (7)
Kutoka Mwasani Mkuranga.
Watoto
1. Hussein Mohamed amezaliwa amefariki
2. Abdallah Mohamed amezaliwa yuko hai
3. Omari Mohamed amezaliwa yuko hai
4. Athumani Mohamed amezaliwa yuko hai
5. Abuu Mohamed amezaliwa yuko hai
6. Mwadawa Mohamed amezaliwa yuko hai
7. Isihaka Mohamed amezaliwa yuko hai


D) RAJABU HUSSEIN SESEME
Mkewe Bi Rukia Saidi Bende kutoka Charambe Nzasa Mbagala amezaa watoto saba (7)

Watoto
1. Fatuma Rajabu amefariki
2. Njiti Rajabu
3. Mwinyigogo Rajabu
4. Zubeda  Rajabu amefariki
5. Zuwena  Rajabu        -     amefariki 2005
6. Shani Rajabu
7. Nasir Rajabu


E) MWAJABU  HUSSEIN SESEME
Mume Hamisi Tofiki
Wamezaa watoto watano (5)

Watoto
1. Halima Hamisi yuhai
2. Ani Hamisi  amezaliwa yuhai yuko Canada
3. Kaisar Hamisi  amezaliwa amefariki 1973
4. Mwanaidi Hamisi  amezaliwa amefariki 1958
5. Salum Hamisi   amezaliwa amefariki 2006

F) MWAKAMA HUSSEIN SESEME
Bi Mwakama hakuwahi kuzaa hata mtoto mmoja pamoja na kuolewa mara
mbili na waume wawili tofauti, mumewe wa kwanza ni Mohamed
Toto Matimbwa na mume wa pili ni Mohamed Mlenga Bi Mwakama
alifariki 14/12/2009.

G) JAFARI HUSSEIN SESEME
Ameowa wake wawili wote wamezaa
Mke wa kwanza Bi Mwanvita Suleimani kutoka  Maruwi Kisarawe amezaa
 watoto watano (5)

Watoto
1. Muhsin Jaffar amezaliwa amefariki
2. Sherehe Jaffar amezaliwa amefariki
3. Tahiya Jaffar amezaliwa yuhai
4. Ismail Jaffar amezaliwa yuhai
5.   Karim Jaffar amezaliwa amefariki
 Bi huyo kaolewa na aliwahi kuzaa na mume wake wa mwanzo kabla ya kuolewa na Bw Jaffar mtoto mmoja wa kiume jina la mtoto huyo ni Mohamed. Huyu Mohamed alifariki 2007.

Mke wa  pili Bi Yasinta ama Pili bint Maji toka Mahenge amezaa watoto wane (4)  na amefariki  October,2010.

Watoto
Mwanaidi Jaffar    amezaliwa                              yuhai
Hussein Jaffar       amezaliwa                              amefariki
Adam Jaffar           amezaliwa                              amefariki
Aziza Jaffar amezaliwa yuhai

H) OMARI HUSSEIN SESEME
Ameowa wake watatu, jumla ya watoto wote ni tisa (9)
Mke wa kwanza- Bi Mwanahawa bint Mwinyikhamisi amezaa mtoto mmoja

Mtoto
Yahya Omari     amezaliwa amefariki

Mke wa pili –Bi Hamisa  binti Shabani kutoka Musoma amezaa watoto saba

    Watoto
1. Seseme Omari    amezaliwa yuko hai
2. Abdu Omari    amezaliwa yuko hai
3. Feli Omari    amezaliwa yuko hai
4. Mahmud Omari  amezaliwa               amefariki 10/12/1995
5. Abas Omari    amezaliwa amefariki 05/04/2003
6. Shabani Omari    amezaliwa amefariki 12/02/1012
7. Safia omari    amezaliwa amefariki
Mke wa tatu –Bi Mariam kutoka Tabora amezaa mtoto mmoja
Mtoto Salum omari

I) MWADAWA HUSSEIN SESEME
Mume-Shomvi Chuma  toka Dovya Chamanzi amezaa watoto tisa (9)

Watoto
1. Asia Shomvi Chuma amezaliwa amefariki 1980
2. Ramadhani Shomvi amezaliwa amefariki 1970
3. Hamisi Shomvi amezaliwa amefariki 1993
4. Mwema Shomvi amezaliwa yuko hai
5. Khalid Shomvi amezaliwa yuko hai
6. Miraj Shomvi amezaliwa yuko hai
7. Hussein Shomvi amezaliwa amefariki 1967
8. Hassan Shomvi amezaliwa yuko hai
9. Abas Shomvi amezaliwa amefariki 1969
 J) KIBIBI HUSSEIN SESEME
Mume Abdallah Salum Ngaegelah kutoka Ngarambe Muhoro Rufiji amefariki 08/11/1996
Wamezaa watoto saba (7)

Watoto
1. Hamisi A.S Ngaegelah                                  amezaliwa AMEFARIKI                           y
2. Mwajuma A.S Ngaegelah                                  amezaliwa                         amefariki 07/02/1995
3. Hawa  A.S Ngaegelah                  amezaliwa             yuhai
4. Salum A.S Ngaegela                 amezaliwa             yu hai
5. Safia A.S Ngaegelah    amezaliwa       amefariki 20/01/1994
6. Zakia  A.S Ngaegela                amezaliwa       yuhai
7. Ramadhani A.S Ngaesgelah amezaliwa       amefariki 2024


K) MWINSHEHE HUSSEIN SESEME
Mkewe-Bi Ummy Hassan Mshamu wamezaa watoto watatu amefariki 1976

Watoto
1. Msekwa Mwishehe amezaliwa amefariki
2. Amani Mwinshehe amezaliwa yu hai
3.    Tatu Mwinshehe amezaliwa yuko hai


L) ALLY HUSSEIN SESEME
Mkewe – Bi Fatuma Omari Patu (Mpemba) kutoka Sunguvuni Mkuranga amezaa watoto tisa (9).

Watoto
1. Saada Ally amezaliwa 1968 yuhai
2. Omar Ally amezaliwa 1970 yuhai
3. Pili Ally amezaliwa 1972 yuhai
4. Halima Ally amezaliwa 1979 yuhai
5. Shabani Ally amezaliwa 1982 yuhai
6. Ashura Ally amezaliwa 1985 yuhai
7. Ally Ally amezaliwa 1987 yuhai
8. Muharami Ally amezaliwa 1990 yuhai
9.    Haji Ally amezaliwa 1993 yuhai

 M) ASHURA HUSSEIN SESEME
Mume-Daudi Ally Daudi kutoka Msasani Tunduru wamezaa watoto watano(5) Amefariki 2001 Daudi naye amefariki kabla yake.

Watoto
1. Rajabu Daudi                 amezaliwa              amefariki 1980
2. Daima Daudi                  amezaliwa                               yuhai
3. Mohamed Daudi                            amezaliwa                               yuhai
4. Daudi Daudi  amezaliwa yuhai
5.    Issa Daudi amezaliwa yuhai


N) HUSNA HUSSEIN SESEME
Aliolewa mara mbili jumla ya watoto tisa (9) mume wa kwanza –Abdi Omari Kalilo
  Watoto
1. Omari Abdi Kalilo mezaliwa yuhai
2.   Abdallah Abdi Kalilo amezaliwa mefariki 2006

Baadaye alizaa mtoto mmoja
Hadia Hakimu Mazengo yuhai

Mume wa pili- Bw  Mzee Khamis watoto sita (6)
Watoto
1. Rehema Mzee Khamisi   amezaliwa amefariki 1973
2. Salima Mzee Khamisi amezaliwa yuhai
3. Nuru Mzee Khamisi amezaliwa yuhai
4. Mwafatima Mzee Khamisi   amezaliwa yuhai
5. Abasi Mzee Khamisi amezaliwa yuhai
6.    Mwanne Mzee Khamisi   amezaliwa yuhai


O) RAMADHANI HUSSEIN SESEME AMEFARIKI 23/02/2011
Mkewe Bi Rahmata Jafari kutoka Mbeya wamezaa watoto wanane na mmoja mwingine sehemu nyingine.

Watoto
1. Salhina Ramadhani amezaliwa yuhai
2. Sauna   Ramadhani amezaliwa yuhai
3. Jaffar Ramadhani amezaliwa yuhai
4. Nassar Ramadhani amezaliwa yuhai
5. Swaumu Ramadhani amezaliwa yuhai
 6.    Shabani Ramadhani                       amezaliwa                               yuhai
7.     Salum Ramadhani                        amezaliwa                               yuhai
8.    Shaibu Ramadhani                         amezaliwa                               yuhai
9.    Safia Ramadhani                            amezaliwa                               yuhai


P) MARIAM HUSSEIN SESEME
Mume-Mohamed Yusuf Kambangwa amefariki 25/01/2007 wamezaa watoto wanane (8)
Watoto
1. Vingawaje Mohamed amezaliwa yuhai
2. Yusuf Mohamed amezaliwa amefariki 02/09
3. Rehema Mohamed amezaliwa yuhai
4. Amina Mohamed amezaliwa yuhai
5. Ayubu Mohamed amezaliwa yuhai
6. Fatuma Mohamed amezaliwa amefariki 16/01/2005
7. Hanifa Mohamed amezaliwa amefariki 14/01/2010
8.   Hadija Mohamed amezaliwa yuhai




Maoni 3 :

  1. hizi taarifa ina bidi zifanyiwe marekebisho maana ni miaka mingi sasa toka zimetumwa humu

    JibuFuta